Artwork

Nội dung được cung cấp bởi UN Global Communications (Digital Solutions Unit) and United Nations. Tất cả nội dung podcast bao gồm các tập, đồ họa và mô tả podcast đều được UN Global Communications (Digital Solutions Unit) and United Nations hoặc đối tác nền tảng podcast của họ tải lên và cung cấp trực tiếp. Nếu bạn cho rằng ai đó đang sử dụng tác phẩm có bản quyền của bạn mà không có sự cho phép của bạn, bạn có thể làm theo quy trình được nêu ở đây https://vi.player.fm/legal.
Player FM - Ứng dụng Podcast
Chuyển sang chế độ ngoại tuyến với ứng dụng Player FM !

25 OKTOBA 2024

9:58
 
Chia sẻ
 
Manage episode 446799147 series 2027789
Nội dung được cung cấp bởi UN Global Communications (Digital Solutions Unit) and United Nations. Tất cả nội dung podcast bao gồm các tập, đồ họa và mô tả podcast đều được UN Global Communications (Digital Solutions Unit) and United Nations hoặc đối tác nền tảng podcast của họ tải lên và cung cấp trực tiếp. Nếu bạn cho rằng ai đó đang sử dụng tác phẩm có bản quyền của bạn mà không có sự cho phép của bạn, bạn có thể làm theo quy trình được nêu ở đây https://vi.player.fm/legal.
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya kibinadamu katika ukanda wa Gaza, na ujumbe wa Filippo Grandi wa UNHCH ambaye yuko ziarani Uganda. Makala tunakupeleka nchini Kenya na mashinani nchini DRC, kulikoni?Hali Gaza inaendelea kuwa tete wakati ucheleweshwji wa kuhamisha wagonjwa hususan watoto wanaohitaji msaada wa haraka wa huduma za afya imekuwa ni hukumu ya kifo kwao huku maelfu ya watu wakiendelea kukosa mahitaji ya muhimu ya kila siku ikiwemo chakula kama mkate, yameonya leo mashirika ya Umoja wa Mataifa.Wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC wanaendelea kukimbilia Uganda kukwepa machafuko nchini mwao, huku rasilimali zikikaribia kikomo. Ameonya Kamishina mkuu wa shirika la Umoja wa Mtaifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, Filippo Grandi, akiwa ziarani nchini Uganda hivi karibuni kwenye kambi inayohifadhi wakimbizi wa DRC na kutoa wito kwa jamii ya kimataifa kuongeza msaada, kama inavyoeleza taarifa ya Bosco Cosmas.Makala inayotupeleka Nairobi Kenya kwake Stella Vuzo afisa habari wa kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa UNIS Nairobi akizungumza na mmoja wa wanaufaika wa mradi wa nishati ya upepo ya Kipeto Energy unaoendeshwa na kampuni ya Craftskills Wind Energy International Limited ambayo jana Siku ya Umoja wa Mataifa ilitwaa tuzo ya “Mtu Bora wa Mwaka wa Umoja wa Mataifa” inayotolewa kila mwaka.Mashinani leo tutaelekea Beni, Kivu Kaskazini kusikia jinsi MONUSCO unavyowasaidia wanawake walio katika mazingira magumu, mmoja wao ni Salome Tatsopa ambaye ni mnufaika wa masomo ya ufundi wa cherahani akitueleza matumani yake baada ya mafunzo hayo.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!
  continue reading

100 tập

Artwork
iconChia sẻ
 
Tất cả các tập

×
 
Loading …

Chào mừng bạn đến với Player FM!

Player FM đang quét trang web để tìm các podcast chất lượng cao cho bạn thưởng thức ngay bây giờ. Đây là ứng dụng podcast tốt nhất và hoạt động trên Android, iPhone và web. Đăng ký để đồng bộ các theo dõi trên tất cả thiết bị.

Hướng dẫn sử dụng nhanh