Kenya: Vijana watoa chanzo na suluhu ya ufisadi nchini mwao.
Manage episode 428390183 series 1091037
Serikali ya rais William Ruto ipo kwenye shinikizo kubwa kutoka kwa vijana nchini humo, wanaomtaka kuchukua hatua kali, kupambana na ufisadi. Tunaugana na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Multi Media nchini Kenya, wanaozungumzia mtazamo wao kuhusu vita dhidi ya ufisadi katika nchi yao.
24 tập